Waathiriwa wa mafuriko kaunti ya Kwale wapewa vyakula

  • | Citizen TV
    263 views

    Serikali kuu kupitia wizara ya maendeleo ya Afrika Mashiriki na maeneo kame imewasilisha chakula cha msaada kwa zaidi ya familia 100 ambazo zimeathirika na mafuriko katika eneo la Kiwegu kaunti ya Kwale