Waathiriwa wa mafuriko Tana River waomba msaada

  • | Citizen TV
    158 views

    Waathiriwa wa mafuriko katika kaunti ya Tana River wanaomba msaada zaidi kufuatia ongezeko la idadi ya watu walioko kwenye kambi za muda eneo la Kongolola.