Waathiriwa wa mafuriko Tana River wapokea msaada wa vyakula

  • | Citizen TV
    463 views

    Idara ya kushughulikia majanga kaunti ya Tana River ikishirikiana na shirika la Msalaba Mwekundu imetoa msaada wa dharura kwa familia 800 zilizoachwa bila makao kufuatia mafuriko katika eneo la Madogo.