Waathiriwa wa mafuriko wahitaji msaada Tana River

  • | Citizen TV
    134 views

    Hali kwenye kambi za muda za waathiriwa wa mafuriko katika kaunti ya Tana River inazidi kuwa mbaya baada ya mahema kuanza kuraruka huku mahitaji mengine muhimu yakikosa ufadhili.