Waathiriwa wa mkasa wa moto mtaani Kibra kusubiri zaidi

  • | Citizen TV
    729 views

    Familia za waathiriwa wa mkasa wa moto huko Kibera zitalazimika kusubiri kwa muda zaidi kabla ya kuwazika wapendwa wao. Serikali imeanza mchakato wa utambuzi wa miili iliyoteketea kupitia sampuli za msimbojeni yaani dna siku ya Alhamisi, mchakato unaotarajiwa kuchukua kati ya wiki mbili hadi mwezi mmoja.