Waathiriwa wa mlipuko wa bomu jijini Nairobi waelezea kamati ya Seneti kuhusu masaibu yao

  • | Citizen TV
    172 views

    Waathiriwa wa mlipuko wa bomu wa mwaka wa 1998 katika ubalozi wa marekani jijini Nairobi wameeleza kamati ya seneti masaibu ambayo wamepitia kwa kukosa fidia miaka 25 baadaye. Kulingana nao, wameishi maisha ya tabu ya kugharamia matibabu bila ya usaidizi kutoka kwa serikali ya kenya na ya marekani