Waathiriwa wa sakata ya ajira ya kampuni ya First Choice waandamana mjini Eldoret

  • | Citizen TV
    2,551 views

    Waathiriwa wa sakata ya ajira ya mamilioni ya pesa inayohusishwa na kampuni ya First Choice mjini Eldoret wanafanya maandamano leo, wakishinikiza hatua kufuatia sakata hiyo. Wazazi na vijana waliolaghaiwa wameshikilia kuwa wataandamana hadi pale kilio chao kitakaposikilizwa.