Skip to main content
Skip to main content

Waathiriwa wa vurugu Homa Bay wataka Opondo Kaluma akamatwe

  • | Citizen TV
    32,163 views
    Duration: 1:34
    Baadhi ya waathiriwa wa machafuko yaliyoshuhudiwa kaunti ya Homa Bay wakati wa mkutano wa linda mwananchi sasa wanamtaka mbunge wa Homa Bay town Opondo Kaluma kukamatwa kufuatia matamshi yake. Waathiriwa hao aidha walisimulia madhila waliyopitia hapo jana, wakidai kuwa mashambulizi hayo yalitekelezwa na wahuni pamoja na maafisa wa usalama. Mali ya thamani isiyojulikana ikiwemo magari yaliharibiwa, huku makumi ya watu wakijeruhiwa kufuatia vurugu hizo.