Waathiriwa wafichua ulaghai wa figo na malipo duni Mediheal

  • | NTV Video
    885 views

    Baadhi ya waathiriwa wa Biashara haramu ya Vipuli vya Figo, inayosemekana kuendeshwa na hospitali ya Mediheal Jijini Eldoret , wamedai kuwa vitambulisho vyao vilibadilishwa ili kuonyesha uhusiano na wanaodaiwa kupokea Figo hizo.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya