Wabunge 30 wa Jubilee wafanya kikao na Rais Ruto

  • | Citizen TV
    4,866 views

    Wabunge thelathini wa chama cha Jubilee leo wamefanya mkutano na Rais William Ruto, wakimuhakikishia ushirikiano katika ajenda yake. Wabunge hao wakionekana kujitenga na mikutano ya kisiasa inayoandaliwa na upinzani wakisema wanatambua uongozi wa Rais Ruto.