Wabunge kutoka eneo la Nyanza wanasema taifa haliko tayari kwa uzinduzi wa mpango wa afya kwa wote

  • | TV 47
    10 views

    Wabunge kutoka eneo la Nyanza sasa wanasema taifa haliko tayari kwa uzinduzi wa mpango wa afya kwa wote.wakiongozwa na mbunge wa seme daktari james nyikal , wabunge hao wamsema baadhi ya vituo vya afya mashinani havina dawa wala wahudumu wa afya wa kutosha, jambo wanalosema litalemaza shughuli nzima ya matibabu kwa wote.haya yanajiri siku chache tu kabla ya rais william ruto kuzindua mpango wa afya kwa wote. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __