- 4,339 viewsDuration: 3:34Wabunge na maseneta sasa wanawataka maspika wa mabunge hayo mawili kumuagiza Rais William Ruto afike mbele yao kuelezea kwa kina madai kuhusu wabunge hao kuitisha hongo. Wabunge hao waliokuwa na hamaki kwenye vikao vyao hii leo wanalalamikia kuchafulia jina huku wakitaka ushahidi kutolewa kuhusu wahusika