Wabunge wa Azimio na Kenya kwanza washikilia misimamo yao kali kuhusiana na hatma ya mswada wa fedha

  • | KBC Video
    82 views

    Wabunge wa miungano ya Azimio la umoja na Kenya kwanza wameshikilia misimamo yao kali kuhusiana na hatma ya mswada wa fedha wa mwaka wa 2023. kwa upande mmoja, mrengo wa azimio unaongozwa na Raila Odinga umeshikilia kuwa mswada huo ubatilishwe la sivyo wataistisha maandamamo huku wabunge wa kenya kwanza wakiapa kupitisha mswada huo ambao utawasilishwa na waziri wa fedha Njunguna Ndungu alhamisi wiki ijayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #financebill2023 #dirayamagwiji