Wabunge wa bunge la 13 hawatasimamia hazina ya CDF

  • | Citizen TV
    1,406 views

    Wabunge wa bunge la 13 hawatasimamia hazina ya CDF Wabunge pia wamenyang'anywa marupurupu ya vikao Aidha hawatapewa ruzuku ya kununua magari Baadhi ya wabunge wanataka ufasiri wa kisheria