Skip to main content
Skip to main content

Wabunge wa eneo la Ukambani wapinga pendekezo la Raila Odinga

  • | Citizen TV
    4,594 views
    Duration: 1:40
    Viongozi wanaoegemea upende wa Kenya Kwanza kutoka eneo la Ukambani wamemsuta vikali kinara wa cha ODM Raila Odinga kufuatia mapendekezo ya kutaka hazina ya CDF,NGAAF na ile ya maseneta kuondolewa wakidai mapendekezo hayo yanalenga kuangamiza maendeleo yanayoletwa na hazina hizo