Wabunge wa Kenya Kwanza wakashifu vikali mpango wa upinzani kuanza tena misururu ya maandamano

  • | Citizen TV
    1,074 views

    Wabunge wa mrengo wa Kenya Kwanza wanakashifu vikali mpango wa upinzani kuanza tena misururu ya maandamano kwanzia Ijumaa wakisema ni njama ya kutatiza Uchumi wa taifa.