Wabunge wa Kenya Kwanza wakutana na rais ikulu

  • | K24 Video
    44 views

    Muungano wa Kenya Kwanza umeafikia kuteua viongozi watano watakaowakilisha muungano huo katika bunge la Afrika mashariki. Uchaguzi wa viongozi uanatarajiwa kufanyika hapo kesho. Katika mkutano huo na wabunge uliofanyika ikulu kuu nairobi, rais William Ruto aliwataka wabunge kujukumika katika utendakazi wao