Wabunge wa kike waanzisha harakati dhidi ya dhulma za kijinsia

  • | Citizen TV
    301 views

    Wabunge wa kike katika bunge la kitaifa wameanzisha harakati za kuwafunza wakazi kuhusu athari za dhulma za kijinsia, pamoja na kuhakikisha vijana na akina mama wanawezeshwa kiuchumi. mafunzo hayo yanalenga kuwaepusha vijana na uhalifu, kando na kuwawezesha kujipatia mapato.