Wabunge wa Marekani yajibu matamshi yenye utata yalitolewa na Trump

  • | VOA Swahili
    202 views
    Wabunge wa Marekani wamejibu kwa mfululizo wa matamshi yenye utatanishi yaliyotolewa na mgombea urais wa Republica Donald Trump siku ya Jumamosi. Wakati rais kutoka chama cha Democrat Joe Biden hakuwa kwenye kampeni mwishoni mwa wiki, juhudi zake za kutaka kuchaguliwa tena zilibeba vichwa vya habari. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.