Wabunge wa muungano wa Kenya Kwanza wamtetea Rais Ruto katika mradi wa ushuru wa nyumba

  • | Citizen TV
    392 views

    Viongozi wa Kenya Kwanza wameendelea kupigia debe mpango ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu na ule wa bima ya afya.