Wabunge wa ndani wa Gachagua wataka timu ya uchunguzi ibuniwe ya utekaji nyara

  • | K24 Video
    762 views

    Wandani wa karibu wa Rigathi Gachagua sasa wanataka kubuniwa kwa tume maalum ya kufanya uchunguzi kuhusiana na utekaji nyara nchini. Wakiongozwa na seneta wa kiambu karungo wa thangwa, viongozi hao wameikashifu vikali serikali ya rais William Ruto kwa utekaji nyara uliokithiri huku wakidai unyakuzi wa ardhi umeshenei chini ya uongozi wa rais Ruto. Wametaka uchunguzi kufanyika vilevilekuhusiana na genge sawa nalile la mungiki linalowahangaisha wakazi wa Mlima Kenya.