Wabunge wa North Rift watilia shaka ufanisi wa operesheni ya usalama

  • | KBC Video
    42 views

    Baadhi ya wabunge kutoka eneo la North Rift wametilia shaka ufanisi wa oparesheni ya usalama inayoendelea katika eneo hilo. Wabunge hao kutoka kaunti za Samburu, Pokot Magharibi na Baringo waliofika mbele ya kamati ya bunge kuhusu utawala na usalama walisema hali katika maeneo hayo imedorora kutoka kero la jadi la wizi wa mifugo hadi dhuluma zinazolenga kuwafurusha watu. Wabunge hao sasa wanapendekeza kuwe na oparesheni ya kijeshi ili kuzipokonya silaha jamii katika maeneo hayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive