Wabunge wa ODM, kutoka Nyanza wakashifu vikali mwenyekiti wa kamati ya bajeti, Ndindi Nyoro

  • | NTV Video
    762 views

    Baadhi ya Wabunge kutoka Chama cha ODM, wa eneo la nyanza wamemkashifu vikali mwenyekiti wa kamati ya BAJETI Katika bunge la kitaifa Ndindi nyoro kwa kutoweka hadharani ripoti yake ili kupata hisia za wakenya. Viongozi hao, walikosoa vikali tume inayoratibu mishahara ya watumishi wa Umma nchini.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya