Wabunge wa upinzani Senegal waondolewa wakati wa kupiga kura

  • | VOA Swahili
    159 views
    Wabunge wa upinzani Senegal wameondolewa bungeni wakati wa kupiga kura kuhusu uchelewesho wa uchaguzi wa rais Wabunge wa Senegal Jumatatu wamepiga kura kuchelewesha uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika mwezi huu hadi Desemba 15, kulingana na mwandishi wa habari wa AFP aliyekuwa katika tukio hilo. Rais huyo wa Bunge la Taifa alitangaza kuwa wabunge walikuwa wamepitisha hatua hiyo, baada ya manaibu kadhaa wa upinzani kuondolewa kwa nguvu ndani ya bunge na polisi. (AFP) #senegal #mackysall #voaswahili