Wabunge wa vyama vya ODM na UDA wamkashifu aliyekuwa naibu wa Rais Rigathi Gachagua

  • | Citizen TV
    709 views

    Wabunge wa vyama vya ODM na UDA wamemkashifu aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kufuatia madai yake kuwa vita vitazuka iwapo Rais William Ruto atatumia udanganyifu kushinda kwenye uchaguzi wa mwaka wa 2027.