Wabunge waangazia NCPB mjini Webuye.

  • | West TV
    45 views
    Wabunge watatu kutoka kaunti ya Bungoma akiwemo Martin Wanyonyi wa Webuye Mashariki, Dan Wanyama wa Webuye Magharibi na John Chikati wa Tongaren wametembelea gala la nafaka na mazao mjini Webuye ili kutathmin hali halisi ya mbolea na iwapo kuna mbolea ghashi na iwapo kuna mbolea ya kutosha kwenye gala hilo