Wabunge waanza kampeni za NG-CDF kabla ya maoni ya umma

  • | NTV Video
    69 views

    Kampeini mashinani zimeanza wabunge wakiwaomba wakazi wajitokeze katika majukwaa ya ukusanyaji maoni ya umma kuanzia jumatatu kuhusu mswada wa marekebisho ya katiba wakilenga kuhalalisha hazina ya ustawishaji maeneo bunge maarufu NG-CDF.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya