Wabunge waidhinisha hoja ya kumbandua waziri Mithika Linturi

  • | TV 47
    20 views

    Cheche zilishuhudiwa wakati wa kujadili hoja ya kubanduliwa kwa waziri wa kilimo Mithika Linturi wabunge wakirushiana maneno dhidi ya hoja yake mbunge jack wamboka ambayo ilifua dafu kwa wabunge 149 ambao waliidhinisha hoja hiyo huku wabunge 36 wakipga kura ya la.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __