Skip to main content
Skip to main content

Wabunge waidhinisha uuzaaji wa 15% ya hisa za Safaricom kwa Sh204 bilioni

  • | Citizen TV
    469 views
    Duration: 2:14
    Wabunge wameidhinisha pendekezo la serikali kuuza asilimia 15 ya hisa zake katika kampuni ya Safaricom. Kwenye mjadala bungeni, wabunge wameidhinisha gharama ya uuzaji huo kuwa shilingi bilioni 204 huku serikali ikiratibiwa masharti ya kufuata kaika utekelezaji wa uuzaji huo.