- 351 viewsDuration: 2:04Wabunge wa kamati ya maendeleo ya kanda wameitaka serikali kuwahamisha waathiriwa wa maporomoko ya ardhi katika sehemu za juu , wakisema wananchi hao wamekuwa wakiishi katika maeneo hatari kwa muda mrefu. Wabunge hao wamezungumza bungeni nairobi.