- 12,730 viewsDuration: 3:51Siku chache baada ya waziri mkuu mkuu wa zamani Raila Odinga kupendekeza wabunge kupokonywa NGCDF na kupokezwa serikali za kaunti,wabunge wamemkosoa odinga kufuatia pendekezo hilo,na kutaka bunge la seneti kuharakisha mchakato wa kuhalalisha mkoba wa NGCDF kisheria