Wabunge wamshinikiza Rais Ruto atoe ushahidi kuhusu madai ya ufisadi bungeni

  • | Citizen TV
    3,506 views

    VIONGOZI WA BUNGE LA KITAIFA SASA WANAMTAKA RAIS WILLIAM RUTO KUTOA USHAHIDI KWA MADAI YAKE KUWA WABUNGE WAMEKUWA WAKILA RUSHWA KUTOKA KWA WATU WANAOFIKA MBELE YAKE KWA UCHUNGUZI. SPIKA MOSES WETANGULA AKIWAONGOZA VIONGOZI WA BUNGE HILO KUKANA KUWA WABUNGE WAMEKUWA WAKIITISHA MLUNGULA KWA KAZI ZAO