Wabunge wamtaka rais Ruto kumaliza mgomo wa afya

  • | Citizen TV
    280 views

    Muungano wa Madaktari nchini KMPDU sasa umesema kwamba utaendelea na mgomo wao licha ya Mahakama kuu kuongeza muda wa agizo lililowataka kusitisha mgomo wao. Hii ni baada ya mahakama kutoa muda wa majuma mawili zaidi kwa madaktari na serikali kuzungumza kutafuta suluhu.