Wabunge wamtaka waziri Tuya kujibu maswali kuhusu mauaji ya makumi ya wavuvi kutoka Todonyang

  • | NTV Video
    395 views

    Wabunge katika Kamati ya Bunge la Kitaifa kuhusu Ulinzi, Ujasusi na Utangamano wa Kimataifa wameonyesha kughathabishwa kwa kutochukuliwa kwa hatua madhubuti dhidi ya wahusika wa mauaji ya makumi ya wavuvi kutoka eneo la Todonyang, Kaunti ya Turkana.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya