Sio Gachagua, wabunge wamtetea Rigathi kufuatia madai ya kuhusika na rabsha za maandamano

  • | KBC Video
    124 views

    Wabunge wanaomuunga mkono aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua, wamepuuzilia mbali madai kwamba uharibifu ulioshuhudiwa wakati wa maandamano ya Jumatano, ulifadhiliwa na upinzani. Wakiongozwa na kiongozi wa walio wachache katika bunge la taifa Robert Mbui, wabunge hao walisema machafuko hayo yalitokana na ghadhabu ya vijana kutokana na kutotekelezwa kwa ahadi zilizotolewa na serikali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive