Wabunge wanarejea kutoka likizo ya majuma 3

  • | Citizen TV
    2,508 views

    Wabunge wanatarajiwa kurejelea vikao vyao tena kuanzia hapo kesho, baada ya kuwa likizoni kwa majuma matatu. Wabunge hao watakuwa na kibarua cha kuwapiga msasa mawaziri wateule 11 waliopendekezwa na rais william ruto. Spika wa bunge moses wetangula pia akitangaza kuwa uvamizi uliofanywa bungeni wakati wa maandamano ulisababisha hasara ya shilingi milioni 94.