Wabunge wapinga kuruhusiwa kwa vyakula vya GMO nchini

  • | West TV
    19 views
    Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Kitaifa wameonekana kupinga hatua ya kuruhusu vyakula vinavyokuzwa kisayansi almaarufu GMOs wakidai kuwa taifa hili lina uwezo mkubwa wa kuzalisha chakula kwa wakazi