Wabunge washtumu vikali mahindi kuletwa nchini

  • | K24 Video
    157 views

    Baadhi ya wabunge wametishia kumng'atua waziri wa biashara na viwanda moses kuria endapo hatafutilia mbali uamuzi wa kuagiza mahindi ya GMO. Wabunge hao kutoka maeneo yanayovuna mahindi akiwemo mbunge wa Pokot Kusini, David Pkosing wanadai uamuzi wa serikali kuagiza mahindi ya bei rahisi msimu wa wakulima kuvuna kukiwa hakuna upungufu nchini ni njama ya kuwakandamiza wakulima.