Wabunge wataka tathmini ya makabila ya walioajiriwa serikalini

  • | K24 Video
    28 views

    Wabunge kutoka muungano wa Azimio sasa wanataka ukaguzi wa jinsi uajiri unafanyika katika taasisi mbali za serikali katika hali ya kutathmini iwapo kumekuwa na ubaguzi wa kikabila . Katika mapendekezo kwa kamati ya kitaifa ya maradhiano , wabunge hao wanadai iwapo zaidi ya asimilia 30 ya kazi imepewa jamii moja basi bunge linapaswa kusitisha uajiri zaidi wa watu wanaotoka katika jamii hiyo.