Wabunge watakiwa wapitishe sera zitakazoimarisha usalama

  • | K24 Video
    20 views

    Naibu wa rais Rigathi Gachagua amelitaka bunge la kitaifa kujiandaa ili kupitisha sera za kitaifa za usalama barabarani pindi tu zitakapowasilishwa mbele yake na wizara ya uchukuzi. Hii ni mojawepo ya juhudi za kupunguza maafa yanayotokana na ajali za barabarani zinazoonekana kuongezeka kila uchao.