‘Wacha kejeli,’ Rais Ruto akemea wanamkosoa kuhusu barabara

  • | Citizen TV
    10,379 views

    Rais William Ruto amewakashifu wakenya ambao wamekuwa wakikejeli kwa mzaha ahadi yake ya kujenga barabara ya kilomita 750 kutoka isiolo hadi mandera. Rais sasa akisema serikali yake iko mbioni kuhakikisha mradi huo unakamilika haraka iwezekanavyo.