Wachapishaji vitabu nchini watoa wito kwa serikali kuondoa ushuru kwa vitabu vya humu nchini

  • | TV 47
    19 views

    Serikali ya Kenya Kwanza imehimizwa kuondoa ushuru wa asilimia 16 kwenye vitabu vinavyochapishwa na kuuzwa humu nchini.Akizungumza hapa Nairobi mwenyekiti wa chama cha wachapishaji nchini KPA Kiarie Kamau amesema gharama ya vitabu imezidi kuzorota kufuatia kiwango cha juu cha ushuru wa VAT kwenye vitabu, na hivyo kusababisha ugumu wa watu kupata stakabadhi muhimu za kusoma.

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __