Wachapishaji vitabu wataka ada ya 16% kuondolewa

  • | Citizen TV
    99 views

    Muungano wa wachapishaji vitabu nchini wamerai serikali kuondoa ada ya asilimia 16 inayotozwa kwa vitabu wakisema hali hii imepelekea kuzorota kwa biashara yao kwani wakenya wengi wameacha kununua vitabu kutokana na hali ngumu ya maisha