Skip to main content
Skip to main content

Wachapishaji wahofia vitabu vya gredi ya 10 vitachelewa 2026

  • | Citizen TV
    379 views
    Duration: 1:48
    Muungano wa Wachapishaji wa Vitabu nchini umeelezea wasiwasi kuhusu hatua ya serikali kuchelewa kutoa malipo,ya jumla ya shillingi billioni 11.4,hali inayotishia kusababisha kuchelewa kwa uchapishaji wa vitabu vya wanafunzi wa Gredi ya kumi.