Wachezaji wa Harambee Stars kununua nyumba za serikali kwa nusu bei

  • | Citizen TV
    255 views

    Wachezaji wa timu ya taifa ya soka Harambee Stars sasa wana fursa ya kununua nyumba za serikali kwa nusu ya bei, baada ya serikali kupunguza gharama yake kwa shilingi milioni moja. Rais Ruto aalitangaza haya alipokutana na wachezaji wa timu hii walioshiriki mechi ya CHAN baada ya kuondolewa kwenye kinyang'anyiro cha robo fainali