Wachezaji wa shule ya Josnah kuwakilisha Kenya katika dimba la kuwania kombe la dunia

  • | Citizen TV
    213 views

    Wachezaji chipukizi wa shule ya Josnah kwa ushirikiano na akademia ya ushauri wa michezo wataiwakilisha kenya katika dimba la kuwania kombe la dana nchini Denmark kati ya tarehe 20 na 31 mwezi huu.