Wachezaji waonyesha msisimko wa hali ya juu kuelekea msimu wa nne wa BAL

  • | VOA Swahili
    120 views
    Wachezaji wanashauku ya kushiriki siku ya ubunifu kupitia mitandaoni wakati huu wa kuangalia yale yanayojiri ndani ya michuano ya Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL) 2024, jinsi wachezaji wanavyoshikamana pamoja wakiwa na msisimko wa hali ya juu wakati wa kuelekea katika msimu wa nne wa BAL huko Kanda wa Nile. #msimuwanne #bal #kandayanile #nile #misri #cairo #voa #voaswahili #ligi #MpiraWaKikapu