- 769 viewsDuration: 3:07Mgogoro unaoendelea mashariki ya kati umeathiri shughuli mbalimbali ikiwemo michezo ambayo pia imesitishwa kwa sasa. Mwanaspoti wetu luqman Mahmoud amekutana na wachezaji wa Kenya wanaochezea klabu ya Nejmeh fc ya Lebanon ambao wamerudi nchini huku pia wakiomboleza kumpoteza kocha wao engin Firat aliyewahi kuifunza Harambee stars.