Wachezaji zaidi ya 200 wanatarajiwa kushiriki mashindano ya gofu

  • | Citizen TV
    9 views

    Wachezaji chipukizi wa Gofu kutoka Afrika Mashariki wanajiandaa kushiriki mashindano ya siku nne ambayo yatafanyika katika uwanja wa Thika Greens Golf Resort kaunti ya Kiambu mwezi Novemba mwaka huu.