28 Aug 2025 1:55 pm | Citizen TV 123 views Duration: 55s Wachezaji chipukizi wa Gofu kutoka Afrika Mashariki wanajiandaa kushiriki mashindano ya siku nne ambayo yatafanyika katika uwanja wa Thika Greens Golf Resort kaunti ya Kiambu mwezi Novemba mwaka huu.